Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam
Kisiwani, Dar es Salaam
1 hour ago
Sh. 700,000/month
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kisiwani
Nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule na jiko mpya kali
BEI 700k TSH!
Mawasiliano















