Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mabibo Nit, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Barabara ya Karibu
0.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA NZURI YA KIBACHELOR INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYAKULALA SEBULE CHOO NDANI PUBLIC SAFI
Bei 500K
LOCATION MABIBO NIT
BARABARANI DAKIKA 0.5
Umeme unajitegemea maji wawili
Nyumba mpya
Ndani fensi but no parking, gari inaishia nyumba moja mbele
Ila pikipik inaingia adi ndani...
ANATAKIWA MKIRISTU
...Karibuni sana...
...📞. 0748403079














