Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Makongo Mwanzoni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000/month

Maelezo

STAND ALONE HOUSE INAPANGAWA | MAKONGO MWANZONI 🏠✨

Nyumba nzuri sana ya kujitegemea (Stand Alone) inapangishwa, ipo kwenye mazingira tulivu na salama kabisa.

Sifa za Nyumba:
🛏️ Vyumba: Vyumba 2 vya kulala.

❄️ AC: Ina Full AC vyumbani na sebuleni.

🅿️ Uwanja: Paving blocks zimekaa vizuri na kuna nafasi ya kutosha ya kupaki magari.

🔒 Ulinzi: Eneo limezungushiwa ukuta na geti kwa ajili ya usalama wako.

💰 Kodi: TZS 1,300,000/= kwa mwezi

📍 Mahali: Makongo Mwanzoni

📞 Mawasiliano / Booking:
Piga au WhatsApp:

Real estate | Nyumba | Viwanja | Dalali | Apartment

nuru_housings

@nuru_housings

View Listings

Matangazo mengine Makongo, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

For Rent1 bed1 bathhouse
Real estate | Nyumba | Viwanja | Dalali | Apartment