Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam


Mbezi, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 600,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Kubwa ukubwa ni vyumba viwili kulala kimoja ni masta kubwa sana
Sebule ipo kubwa sana
Jiko lipo kubwa sana maji mita yako pekeyako
Luku yako pekeyako
Kwenye fensi zipo nyumba mbili tuu
Kodi sh laki 6 // 👈
Ilipo njia ya mbezi bechi kituo ni mubuyuni
Umbali ni dakika 7 kwa miguu
#















