Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZ BEACH UPANDE WACHINI
KODI TSH 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala #Masta #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye makabati Choo/Bafu vya
ndani public na seventekota chumba kimoja nje Gypsum Tiles aluminium Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo kubwa
Nje Pavingblocks Garden
FencedHouse
-kwa mawasiliano zaidi
Nione dalalimbezibeachtz_rahimu
Contact 0788002802
WhatsApp 0788783636
Karibuni sana wateja wangu ππ



















