Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Magufuli, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
600,000/= x4,5,6
• Vyumba 2 kimoja master
• Sebule kubwa
Jiko
V Dinning Room
• Public toilet
> Air Condition
Location: Mbezi Magufuli kwa Yusuph
Umbali wa kutoka lami mpka kwenye nyumba ni kilometa 1 tu
Service Charge: 20,000/=
0685 006223
Nipigie/WhatsApp
45 minutes ago • See Translation















