Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Msuguli, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
500,000
=========
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION MBEZI MSUGULI KULIA 10
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO MBEZI KWA MSUGURI
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala vyote master
Jiko zuri
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/
Kodi 500,000
--------
Nb
ZIPO MBILI TU NDANI YA FENCE
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 500,000















