Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam









Mbezi, Dar Es Salaam
9 hours ago
Sh. 350,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
(350,000X3)MBEZIMWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA..NJIA LAMI TUPU
__
Vyumba 2 VIWILI kulala, kimoja master
Sebule
Jiko
Choo cha familia
Parking
Maji na Umeme mita yako
__
Kodi 350,000/= × 3
Dalali mwezi 1
Kuona site 20
PIGA SIMU FASTAAA















