Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mikwambe, Dar Es Salaam

Mikwambe, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 400,000/month
Maelezo
Vyumba 2 vya kulala sebule na jiko mpyaa
Kodi 400k kwa mwazi
Zipo kigamboni mikwambe funcity tuwasiliane
@ 0718630932
Kalibuni wateja














