Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Msalato, Dodoma

video thumbnail
Msalato, Dodoma
1 month ago
Sh. 300,000/month

Maelezo

🏑 NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA – MSALATO (DCT) 🏑

Unatafuta nyumba ya kisasa, yenye nafasi na faragha? Hii hapa fursa yako!

✨ **Sifa za nyumba:**

* Vyumba 2 vya kulala – vyote ni master (self-contained)
* Sebule kubwa na ya kisasa
* Jiko zuri lenye nafasi ya kutosha
* Umeme na maji vinapatikana kwa uhakika
* Mazingira tulivu na salama

πŸ“ Location:** Msalato – DCT (eneo zuri na linalokua kwa kasi)

πŸ’° Bei:Tsh 300,000 kwa mwezi
πŸ“Œ Malipo: Miezi 3 mbele

πŸ“ž **Wahi sasa! Usikose nafasi hii:
0713517719 / 0765517710

πŸ‘‰ Nyumba ni safi, mpya na ipo tayari kuhamia muda wowote!

Matangazo yanayofanana Msalato, Dodoma

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Msalato, Dodoma

Sh. 200,000/month

  • Mpya

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Sebule

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Msalato, Dodoma

Sh. 200,000/month

  • Fence ya Umeme

  • Kisima

  • Luku Inajitegemea