Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mwanza









Huduma na Sifa
Maelezo
Mpyaa 300K kwa mweziš„
āVyumba viwili, sebule na jiko
āChumba Kimoja ni self na heater
āPublic toilet & bathroom
āUmeme na maji unajitegemea
āFenced & Car Parking
āPrice 300K kwa mwezi
āMALIPO KUANZIA MIEZI SITA
āFor more information contact us š
Call or WhatsApp 0678 930 126
GLORY TO GOD















