Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mwanza
Mwanza
6 hours ago
Sh. 150,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Inapangishwa 150K/mwezi🔥
👉Vyumba viwili na sebule bila jiko
👉Chumba Kimoja ni self contained
👉Umeme unajitegemea LUKU
👉Fenced & Car parking
👉Price 150K kwa mwezi
👉Malipo kuanzia miezi 6
👉For more information contact us 👇
Call or WhatsApp
IN GOD WE TRUST















