Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Njiro, Arusha

Maelezo
🆕️UPDATED
NYUMBA INAPANGISHWA NJIRO
Ina vyumba viwili
Kimoja ni msata
Ina sebule
Ina jiko
Ina dinning
Ina public toilet
Ina makabati kote
Ina mazingira tulivu
Ina faa kwa makazi
Ipo mita 800 toka lami
Mahali NJIRO
BEI 450,000
CALL / TEXT WHATSAPP 0742984622















