Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000/month

Maelezo

🏢 KIWANJA KINAUZWA – TABATA BIMA 🏢

Kiwanja kizuri sana kinauzwa Tabata Bima, kipo takribani dakika 1 tu kutoka kituoni 🚶‍♂️.
Kipo ndani ya fence, ni tambalare kabisa 🟩, hakijai maji 💧❌, na kinafikika bila shida 🚗.

Ni eneo zuri sana kwa uwekezaji wa apartments 🏬. Unaweza kujenga:
🔹 Apartments za ghorofa zenye vyumba viwili
🔹 Au chumba kimoja, sebule na jiko

Kodi inaweza kuanzia 600,000/= 💰 na kuendelea kulingana na finishing utakayoweka, na kupata wapangaji bila changamoto 👍.

Pia mbele unaweza kujenga fremu za biashara 🏪 na kuongeza chanzo kingine cha mapato.

📐 Ukubwa: SQM 800
🏢 Unaweza kujenga hadi ghorofa 3–5 na kupata zaidi ya nyumba 12 za kupangisha.

💵 Bei: Milioni 135 tu.
👀 Service charge: 30,000/=

🔥 Hii ni fursa ya kweli ya uwekezaji!

🤝 Karibu tufanye biashara tajiri.

📞 Wasiliana nami: +255 688 412 890
✨ Dalali wako Wakishua

Matangazo yanayofanana Tabata, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Sanene, Dar Es Salaam

Sh. 3,000,000/month

  • Air Conditioning

  • CCTV

  • Public Toilet

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Jiko