Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tegeta Wazo Mashamba Ya Jeshi, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba lnapangishwa lnajitegemea, ipo Tegeta Wazo Mashamba ya Jeshi
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 400,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana















