Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kiluvya Kwa Komba, Dar Es Salaam (450 sqm)

video thumbnail

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Ukubwa

450 SQM

Barabara ya Karibu

600m

Huduma na Sifa

Umeme
Maji

Maelezo

NYUMBA INAUZWA KILUVYA KWA KOMBA DSM

Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet

Eneo sqm 450

Bei Mil. 60 maongezi kidogo

Nyumba imekamilika niyakuhamia,umeme na maji vipo

Umbali mita 600 toka lami

Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=

0654 101710
0787 205300

Tafuta unachotaka Kiluvya kwa Komba, Ubungo, Dar Es Salaam