Tafuta
-
-

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 387,747

Aina

Nyumba

Maelezo

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 03/12/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟APARTMENT HIYO INASIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO NJE

❌HAKUNA JIKO
LUKU WANASHEA FAMILIA 2 TUU
MADILISHA ALUMINIUM
INA TILIZE NA GYPSUM SAFI
RANGI WHITE NDANI NZURI
IPO NDANI YA FENSI YA WAYA NA GETI ZURI

BEI NI 150,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747

Matangazo yanayofanana Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000 per month

APARTMENT NZULI ZA KIBABE INAPANGISHWA MBENZI KWA MSUGURI (km1)🔥🔥 SIFA ZAKE (1) INAVYUMBA 3 VYA...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 250,000 per month

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 200,000 per month

200000K X6 APATIMENTI IPO MBEZI KWA MSUGURI USALAMA WA KUTOSHA KUTOKA UMBALI WA KILOMITA 2 SIFA Y...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

200000K X6 APATIMENTI IPO MBEZI KWA MSUGURI USALAMA WA KUTOSHA KUTOKA UMBALI WA KILOMITA 2 SIFA Y...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

☎️NEW APARTMENT NZURI CLASSIC INAPANGISHWA KODI KWA MWEZI NI 200,000 × 6 LOCATION: MBEZI MWISHO N...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

☎️NEW APARTMENT NZURI CLASSIC INAPANGISHWA KODI KWA MWEZI NI 200,000 × 6 LOCATION: MBEZI MWISHO N...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 550,000 per month

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA# INAPANGISHWA #APARTIMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZIBEACH MAK...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 1,200,000 per month

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENT VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz LOCATION - MBEZI BEAC...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 1,000,000 per month

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENT VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz LOCETION MBEZI BEACH ...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 700,000 per month

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENT CHUMBA SEBULE JIKO CHOO IKO-DAR-ES-SALAAM TZ LOCATION MBEZI BEACH ...

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 800,000 per month

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENT VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz LOCETION MBEZI BEACH ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 1,500,000 per month

🏠 Apartment for Rent – Mbezi Beach (Makonde, Upande wa Juu) ✨ Spacious and modern apartment availab...

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • Residential

$ 600 per month

🏠 Apartment for Rent – Mbezi Beach (Tanki Bovu, Upande wa Chini) ✨ Cozy and well-located apartment,...

Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
  • Residential

$ 700 per month

🏠 Fully Furnished Apartment for Rent – Mbezi Beach (Tanki Bovu, Upande wa Juu) ✨ Move-in ready apar...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Luguruni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 200,000 per month

APARTMENT MPYAAAAAAAAAA ZINAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #200k == Chumba cha kulala Sebule Choo ndan...

Tafuta unachotaka Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam