Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Dar Es Salaam
25 days ago
Sh. 350,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment for rent
Kwa wale wanaopenda mazingira mazuri mtaa mzuri nyumba yakawaida inapangishwa ipo sinza hood bei laki 350 000 kwa mwezi kodi miezi 6 ruksa kuona nakulipa mpangaji anahama week hii paking ipo maji yapo
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
call
#0716938128_0692198834☎️📞call
#0760097834_call whatsAp















