Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam








Kibamba, Dar Es Salaam
20 hours ago
Sh. 100,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #100k
===
Chumba cha kulala
Sebule
jiko
Choo nje cha kwako
Inajitegemea umeme, maji bill yanaflow chooni
==
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO,
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo, au bodaboda
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167















