Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kikuyu, Dodoma

Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Nzuri Inapangishwa 🏠
Muundo
✅ Chumba
✅ Sebule
✅ Jiko
📍 Mahali: Kikuyu Dodoma
✔️ Jirani na Lami
✔️ Jirani na SGR Station
Huduma
⚡ Umeme unajitegemea
💧 Maji unajitegemea
💰 Kodi 250,000/=
📞 Mawasiliano
0787037986
0757037986
Karibuni











