Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam









Temboni, Dar es Salaam
22 hours ago
Sh. 300,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartiment mzuri sana lnapangishwa ipo temboni kulia kama hunaelekea mbezi
Dk 5 kutembea kwamguu
Muundo wake
Chumba mastar sebule kubwa jiko lipo nje pembeni kubwa
Inatiles gyupsam aluminium
Inajitegemea umeme maji
Nyumba mpyaaa ndani yafensi
Kodi 300x6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Call me
0713 320 608
0686 334 182















