Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 700,000/month

Maelezo

700K X6 MPYA KABISA INAPANGISHWA KIMARA SUKA

UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU

NI APARTMENTS NZURI SANA NA MPYA KABISA YENYE SIFA ZIFUATAZO ๐Ÿ‘‡

VYUMBA VITATU VYA KULALA VYOTE VINA MAKABATI NA KIMOJA KATI YA HIVYO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO LAKE KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI

TILES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
FULL PERVING
HEATER YA MAJI MOTO
FREE WI-FI
FULL SECURITY

JUMLA ZIPO APARTMENTS NNE TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU

UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI

CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA

SERVICE CHARGE 20,000

Contact
0753454167
0679447338

#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐Ÿ™

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

For Rent3 beds3 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment