Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Tabata, Dar Es Salaam

Maelezo
BADO IPO HIII....TUMEVUNJA BEI🗣🗣🗣🗣

*NYUMBA GHOROFA INA APARTMENTS 2 INAUZWA BINAFSI*

IPO TABATA SEGEREA MANISPAA YA ILALA DAR

Kila moja ina:-

Vyumba Vitatu kimoja self, Sitting, Kitchen&Public Toilet

Umiliki : mkataba wa Mauziano serikali ya mtaa,, eneo limepimwa Hati itatoka kwa Jina la mteja...

Ukubwa Wa Eneo: ~ SQM 800

Plan ilikuwa ziwe mbili ambazo zina jumla ya apartments 4, unaweza kuendeleza plan hiyo kama inavyoonekana kwenye picha au kubadili....

Ni mita chache tu kutoka barabara kuu ya tabata-kinyerezi

Bei : Kutoka 350 Million, sasa ni mil 280

Gharama Za Kwenda Site (servicecharge) Ni Tshs 50,000/=

Karibu

Tupigie Whatsapp au call 0784 919 453,,, call only +255 658 582977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/EQD6RegTadlJoDnUVifRci

#business #home #regrann #apartment #apartments