Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Chidachi, Dodoma

video thumbnail
Chidachi, Dodoma
21 days ago
Sh. 400,000/month

Maelezo

🏡 APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA – CHIDACHI, DODOMA ✨

Je, unatafuta apartment mpya yenye mazingira mazuri na utulivu? Hii ndiyo chaguo sahihi kwako!

📍 Mahali: Chidachi, Dodoma

Muundo:
✅ 2 Bedroom Apartment
✅ Vyumba vyote ni Master
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Jiko kubwa lenye nafasi ya kutosha

💰 Kodi: TSh 400,000/= (Malipo ya miezi 6)

Huduma:
✔️ Umeme unajitegemea
✔️ Maji ya kisima yanapatikana muda wote (Bure)
✔️ Jirani kabisa na barabara ya lami
✔️ Wapangaji watatu (3) tu ndani ya eneo

📅 Kuingia: Tarehe 01/08/2026

Unaweza kuja kuona na kulipia mapema ili kujihakikishia nafasi yako.

📞 Mawasiliano:
0787 037 986
0757 037 986

Karibuni Bupalu Real Estate – Tunakusaidia kupata makazi bora kwa uhakika.