Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 1,200,000/month

Maelezo

Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama

Bei: 1,200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6

Ni Floo Ya Kwanza

☑️Vyumba 2, Kimoja Master Sebule, Jiko Na Choo
☑️Ina Chumba Kingine Cha Mdada Wa Kazi
☑️Kila Kitu Unajitegemea
☑️Fensi, Paved Parking Ya Kutosha Mlinzi Wa Kampuni
☑️Lift, Balcony, Mtaa Mzuri
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa @dalalimastertz

Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Matangazo mengine Kijitonyama, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment