Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Kimara, Dar Es Salaam
49 minutes ago
Sh. 350,000/month

Maelezo

APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA

KODI 350,000X6 PAMOJA NA HELA YA DEPOSIT MWEZI MMOJA

VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA
JIKO LA MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
MAFENI KILA CHUMBA

KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO MBILI TU
HII MOJA NDO IPO WAZI

IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI

UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU

IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PERVING BLOCK USALAMA KAMA IKULU

UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI

KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 20,000

NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPI APO NYUMBA

PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUPATA NYUMBA

ANAHITAJIKA MPANGAJI MWENYE MKE KIUFUPI FAMILIA

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stopover, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

  • Sebule

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stopover, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000/month

  • Uzio

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stopover, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

  • Sebule