Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
⚡️Apartment Kali na zipo Karbu na lami
⚡️Vyumba viwili, sebule na jiko la makabati
⚡️bei 600k
⚡️Location: makongo karibu na lami
⚡️Umeme unajitegemea
⚡️Ndani ya fensi
🙏🏿Karbu: 0748403079















