Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT INAPANGISHWA

MAHALI : Mbezi beach(karibu na jk nyerere)

-Ina vyumba viwili vya kulala(kimoja masta) , sebule na jiko

Ziko 3 tu kwenye fensi

INAJITEGEMEA KWENYE UMEME NA MAJI

BEI : 600,000 Tsh KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6

CONTACT 0685 006223
WHATSAP 0718 759287