Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 350,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

0679 997610
Apartment Inapangishwa:
(Zipo Kwenye fensi)

Location :: MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MAGUFULI Umbali wa Kilometa 1 tu BODA 1000 TU

Bei yake :: 350,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)

AU Bei yake :: 400,000Tsh kwa mwezi (Miezi mitatu)

Ndugu mteja chaguo ni lako

Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa mnoo
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Heater ya maji moto
🌡️Service Charge 20,000/=

Simu
0679 997610 🔥🔥