Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Maziwa, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 800,000/month

Maelezo

Apartment Mpya Kali Inapangishwa
Mahali: Ubungo Maziwa

Bei: 800,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6

Wapangaji Wanne. Kuingia Baada Ya Mwezi 1. Malipo Yanapokelewa

☑️Vyumba 2 Kimoja Ni Master Sebule Jiko Na Choo
☑️Kila Kitu Unajitegemea
☑️Fensi Ya Umeme & Paved Parking
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa @dalalimastertz

Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Matangazo mengine Ubungo, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo External, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

For Rent3 beds2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Makoka, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment