Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 760,000/month

Maelezo

Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Ubungo Riverside

Bei: 760,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 4

Karibu Sana Na Lami

☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master Sebule Kubwa Jiko Choo
☑️Umeme Mita Yako
☑️Haulipii Maji Usafi Ulinzi Taka
☑️Fensi Ya Umeme, Remote Gate, Paved Parking
☑️Balcony View
☑️Reserve Tank, Dawasa Maji 24/7

Zitakuwa Tayari Mwisho Wa Mwezi Wa 6. Malipo Yanapokelewa.

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa @dalalimastertz

Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Matangazo yanayofanana Ubungo, Dar Es Salaam

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo Kibo, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Maji

  • Parking Space

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo Kibo, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Msewe, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • Heater