Ofisi inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Aina
Ofisi
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA @ Inapangishwa @ Kwa ajili ya ofisi tu @ Bei 400.000 kwa mwez kwajili @ Mahali sinza & Malipo miez 6 na dalali 7 @ Karibu sanaa ofisini kwetu sinza LEGO @ Garama ya kupelekwa ni sh 30000 @ Kwa mawasiliano ya sm 0756999550 @ Namba ya wasp 0659848687














