Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam sqm 320

Sh. 65,000,000

Ukubwa

320 SQM

Barabara ya Karibu

100m

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Ardhi Iliyopimwa

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIBADA (CRDB) 🏑

Unatafuta kiwanja kizuri kwa uwekezaji au kujenga makazi ya ndoto? Hii ni fursa usiyoipaswa kuikosa!

πŸ“ Location: Kigamboni Kibada – Salasala DDC
πŸ“ Ukubwa: SQM 320
πŸ“„ Hati: Kimepimwa na Halmashauri

✨ Sifa za Kiwanja:
βœ… Kipo katikati ya maghorofa
βœ… Mtaa mzuri wenye mipango miji iliyopangwa vizuri
βœ… Mita 100 tu kutoka barabara ya lami
βœ… Kilomita 10 kutoka Feri ya Kigamboni
βœ… Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ—οΈ Kinafaa kwa:
βœ”οΈ Ujenzi wa nyumba ya makazi
βœ”οΈ Apartmenti
βœ”οΈ Uwekezaji wenye faida kubwa

πŸ’° Bei: TSh Milioni 65 tu (Mazungumzo yapo.)
πŸ“ž0769554221

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio