Kiwanja kinauzwa Matemwe, Zanzibar sqm 1312







Ukubwa
1312 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA MATEMWE
#unguja #zanzibar
Kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 200 🚶🏽
Umbali mpaka Barabarani 1Km
Ukubwa wa Kiwanja Mita 82x16
Bei Tsh 50m Milioni hamsini
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 200
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















