Tafuta
-
-

Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Africana (upande wa juu), Dar Es Salaam sqm 950

video thumbnail
Sh. 230,000,000

Ukubwa

950 SQM

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara

Maelezo

Kiwanja kinauzwa – Mbezi Beach Africana (upande wa juu)

Ukubwa: SQM 950
Bei: Milioni 230 (maongezi yapo kidogo)

Maelezo:
Kiwanja hiki kinagusa moja kwa moja barabara ya lami, hivyo ni rahisi kufikika muda wowote. Kinafaa sana kwa uwekezaji wa kujenga fremu au apartment za kupangisha.

Tayari kimeshapimwa na kina plot number halali, hivyo hakina usumbufu wa umiliki. Ni eneo zuri, tulivu na lenye maendeleo kwa kasi.

Wahi sasa uweze kupata fursa hii ya kipekee.

#KiwanjaKinauzwa #MbeziBeach #Africana #DarEsSalaamProperty #ViwanjaDar RealEstateTanzania PlotForSale LandForSaleTZ NyumbaZaKupanga ApartmentsDar FremuDar BiasharaDar Uwekezaji KiwanjaBeiNzuri PrimeLocation BarabaraYaLami PlotNumber KiwanjaKimepimwa WekezaSasa

Matangazo yanayofanana Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Mbezi Njia Ya Makabe, Dar Es Salaam sqm 400
  • 400sqm
  • Residential

Sh. 35,000,000

KIWANJA KIZURI MNO KINAUZWA MBEZI NJIA YA MAKABE KINA UKUBWA WA SQM 400 KIKO UMBALI WA MITA CHACHE...

Kiwanja kinauzwa Mbezi Njia Ya Makabe, Dar Es Salaam sqm 400
  • 400sqm
  • Residential

Sh. 35,000,000

KIWANJA KIZURI MNO KINAUZWA MBEZI NJIA YA MAKABE KINA UKUBWA WA SQM 400 KIKO UMBALI WA MITA CHACHE...

Viwanja vinauzwa Mbezi Msakuzi, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential
  • Project

Sh. 19,000,000

Plots For Sale Mbezi Msakuzi 🛣️ 3km From Morogoro Road ( Mbezi Magufuli Terminal) 🏷️Price SQM...

Kiwanja kinauzwa Mbezi Malamba Mawili, Dar Es Salaam sqm 3200
  • 3200sqm
  • Residential

Sh. 320,000,000

Kiwanja kizuri sana na kikubwa sana kinauzwa bei milion 320, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter...

Viwanja vinauzwa Mbezi Mpiji - Magohe, Dar Es Salaam
  • Residential
  • Project

Sh. 35,000/sqm

Jenga Kesho Yako Leo! 🏡Sikukuu ya Eid inakuja na neema! Land Matrix Limited tunakupa fursa ya kipeke...

Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam sqm 2400
  • 2400sqm
  • Residential

Sh. 60,000,000

Kiwanja kikubwa kinauzwa Sqm 2400 (80x30)Kipo tambalale kabisaUmeme na maji vipo KimepimwaBei 60 mi...

Tafuta unachotaka Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam