Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Bonyokwa, Dar Es Salaam sqm 441

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 40,000,000

Ukubwa

441 SQM

Barabara ya Karibu

500m

Maelezo

#0742260844_0657384670
.
πŸ”₯🏑 *KIWANJA HOT CAKE KINAUZWA TABATA BONYOKWA* 🏑πŸ”₯
πŸ“ Eneo: TABATA BONYOKWA
Unaweza Pitia Segerea/Ubungo EXTENO/Kimara
πŸ“ Ukubwa: SQM 441
πŸ’° Bei: *Milioni 40 TU*(Maongezi Yapo Fika Site)
βœ… Kimepimwa
βœ… Eneo zuri kwa makazi au uwekezaji
Umbali wa Meter 500 kutoka Stand Kuu ya Mabasi, Dk 10 KUTEMBEA
βœ… Miundombinu inapatikana kwa urahisi
βœ… Fursa ya kuongeza thamani ya uwekezaji wako
Ardhi haiongezeki, wanaiongeza bei tu! Hii ni nafasi yako ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi.

*SURVEY CHARGE NI ELFU 30*
*NAONGEA NA MMILIKI*
πŸ“ž Wasiliana nami sasa kwa maelezo zaidi na kuangalia kiwanja.

#Bonyokwa #KiwanjaKinauzwa #RealEstate #Uwekezaji ArdhiNiMali πŸ‘πŸ”‘πŸ’°

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam