Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 20,000/day

Huduma na Sifa

Maelezo

๐ŸšŒ WEEKEND HII TWENDE SITE PAMOJA! ๐Ÿกโœจ

Unatamani kumiliki kiwanja lakini bado hujapata nafasi ya kufika site? Sasa ni muda wako wa kujionea mwenyewe.

Kwa TSH 20,000 tu, jiunge nasi kutembelea miradi yetu:

๐Ÿ“ Kigamboni Kimbiji
๐Ÿ“ Kigamboni Buyuni
๐Ÿ“ Puna Yaleyale โ€“ Pemba Mnazi

โœ… Jionee maeneo halisi ya miradi
โœ… Fahamu taratibu za umiliki
โœ… Pata maelezo ya malipo na uwekezaji
โœ… Jionee maendeleo ya maeneo yanayokua kwa kasi

Usikose nafasi hii ya kujionea kabla ya kufanya maamuzi ya uwekezaji.

๐Ÿ“ž 0741 001 000
#kigamboni #sitetositerealestate#viwanja #sitevisitation #viwanjakigamboni