Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni Vumilia Ukooni - Mwembemdogo, Dar Es Salaam

Sh. 18,000/sqm

Barabara ya Karibu

2km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Ardhi Iliyopimwa
Site Visit Bure
Hati
Fresh Water
Good Neighborhood

Maelezo

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517

👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zinazotambulika na wizara ya ardhi

👉🏽2.Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwenye mpango wa Lami.

👉🏽Good neighborhood (majirani watu wa bandari TPA).kiufupi ni mji wa kishua.

👉🏽Huduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima kina kigupi maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.

👉🏽Bei elekezi hapa tumesusa kwa ;-
Malipo ya cash: 18,000/=
Malipo ya installment :20,000/=

👉🏽Site visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .

👉🏽Uzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.

TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR

AU TUPIGIE KWA NAMBA 0767053517