Tafuta

Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam (843 sqm)

video thumbnail
Goba, Dar Es Salaam
11 hours ago
Sh. 85,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Goba

Ukubwa

843 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

Kiwanja kizuri Sana kinauzwa:

Kipo mtaa mzuri Sana nani karibu na lami

Ukubwa-sqm 843

Kimepimwa hati bado

Bei-ml 85 maongezi

Location - Goba kulangwa

Umbali-Mita 300 kutoka main road

Karibuni

Dalali Tegeta 0718809744
0784234971