Kiwanja kinauzwa Goba Njia Ya Makongo Juu, Dar Es Salaam (700 sqm)
Huduma na Sifa
Maelezo
Karibu sana ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kikali mnoo pazuri sana panafaa kujenga nyumba ya ndoto zako au kuwekeza apartments Air Bnb
✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 700
✨Location: Goba njia ya Makongo Juu
✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari
✨Bei : Million 100 (maongezi yapo kidgo)
✨Umbali kutoka lami mita 700
✨Umiliki: Mmoja
✨Documents: Upimaji
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:















