Kiwanja kinauzwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam (800 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA SHULE
Ukubwa sqm 800
Bei: Mil. 22 Tuwahi kwani bei imeshuka sana
Huduma zote muhimu zipo hapo
Umbali KM 1.5 boda 1000 mpaka site
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0679447338
0753454167















