Kiwanja kinauzwa Kifuru Soweto, Dar Es Salaam

Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
5km
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 KIWANJA KINAUZWA – KIFURU SOWETO
🔥 Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja kwenye eneo linalokua kwa kasi!
📍 Kipo Kifuru Soweto
🚶 Takriban dakika 5 tu kutoka barabara ya lami na hatua chache kutoka barabara ya mtaa.
✅ Eneo ni zuri kabisa
✅ Kina fence tayari upande mmoja
✅ Majirani wamejenga nyumba za kisasa
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana kwa urahisi
✅ Kinafaa kwa makazi binafsi au uwekezaji wa baadaye
💰 Bei: Milioni 65 tu
💼 Service charge / Gharama ya huduma: 30,000/=
📞 Muhitaji piga: +255 688 412 890
Karibu ndugu mteja tufanye biashara. 🤝🏽🏡













