Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni Block 6, Dar Es Salaam (1200 sqm)
Madale, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 155,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri Sana kona plot kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri Sana wa kishua
Ukubwa-sqm 1200
Umiliki-hati miliki
Bei-ml 155 maongezi
Location - madale mivumoni block 6
Umbali-mita 100 kutoka lami
Karibuni















