Kiwanja kinauzwa Pongwe Ya Uroa, Tanga (5000 sqm)






Huduma na Sifa
Maelezo
VIWANJA VINAUZWA PONGWE YA UROA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Viwanja Vilipo mpaka Beach/Pwani Mita 400
Umbali kutoka kiwanja vilipo mpaka Barabarani Mita 250
Ukubwa wa Kiwanja Kimoja Ft 100x50
Bei ya Kiwanja Kimoja 7,500,000/- Milioni saba na laki tano
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 400
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















