Tafuta

Viwanja vinauzwa Buyuni Mti Mweupe, Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 17,000/sqm

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Barabara ya Karibu

1km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maelezo

๐ŸŒฟ Kigamboni Buyuni โ€“ fursa halisi ya kumiliki ardhi yako mwenyewe!
Usiache nafasi ipiteโ€ฆ maeneo yanakua kwa kasi na thamani inaongezeka kila siku. Hapa ndipo uwekezaji wako unapoanza kuzaa matunda mapema. ๐Ÿก
Anza safari yako leo ๐Ÿ‘‡
Kwa 335,000 tu unaweza kumiliki kiwanja, kisha ukaendelea kulipa kidogo kidogo kila mwezi ndani ya miezi 24 bila presha.
๐Ÿ“ Rahisi kumiliki
๐Ÿ“ Eneo linaendelea kuimarika
๐Ÿ“ Bei nafuu kwa kila mtu
๐Ÿ“ Fursa ya uhakika kwa familia yako
Leo unachukua hatua, kesho unajivunia maamuzi yako!
Kigamboni Buyuni โ€“ kipande kidogo leo, urithi wa kudumu kesho. ๐ŸŒฑ

๐Ÿ“ BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni โ€“ Dar es Salaam
โœ” Km 2 kutoka Baharini
โœ” Km 1 kutoka Barabara kuu
๐Ÿ’ฐ Bei Maalum:
โ€ข Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
โ€ข Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
โœ” Malipo kwa awamu hadi miezi 24 ๐Ÿ“žWasiliana nasi
+255 748 303 601
Trust Solution โ€“ Ndoto yako ya ardhi inaanzia hapa!
#KigamboniBuyuni
#AnzaLeo
#ArdhiNiUwekezaji
#TrustSolution
#MilikiSasa

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (650 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale650 sqm
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Kibada, Kigamboni, Dar Es Salaam (650 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale650 sqm
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

For Sale
  • Karibu na Bichi

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Mwera, Dar Es Salaam (240 sqm)

Sh. 12,000,000

For Sale240 sqm
  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (1400 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale1,400 sqmNegotiable
  • Uzio

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kibugumo, Mjimwema, Kigamboni, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 50,000,000

For Sale500 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 55,000,000

For Sale450 sqmNegotiable
  • Uzio

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonga, Dar Es Salaam

Sh. 18,000/sqm

For SaleInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

For SaleInstallment
  • Ardhi Tambarare

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 18,000/sqm

For Sale400 sqmInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Kimbiji Kwa Chale, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000/sqm

For SaleInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (641 sqm)

Sh. 16,025,000

For Sale641 sqmInstallment
  • Karibu na Barabara