Viwanja vinauzwa Kibada, Dar Es Salaam (400 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Upepo flan hv kama tuko baharini kumbe ni kisarawe || tajiri viwanja vinabebwa wahi chako sasa kwa kianzio cha 50% hii si ya kukosa kwa sababu mazingira yanashawishi
✅️huduma zote zimezingatiwa kwa kuanzia na barabara
✅️umeme umeshafika kwa sababu tayari ni sehemu iliyoendlea
✅️maji sio ya kuuliza
✅️hospital na shule.zipo kama.zote
Njo tukupeleke site
Tsh 40,000 tu sqm 1
Sqm 400 hadi sqm 700
Waliowahi tayari wameshashusha mijengo yao sijui unasubiri nini tajiri
📞0758951458
Usichelewe
📍kibada-conerstone
Site yetu ni km 2 kutokea lami
Km 3 kutokea kibada roundabout
#realestate #plotforsaletz #viwanjakigamboni #viralreels #kisaraweii















