Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam







Mwasonga, Dar es Salaam
12 hours ago
Sh. 23,000/sqm
Huduma na Sifa
Maelezo
🎉 KIGAMBONI MWASONGA 🎉
ANZA NA 560,000 tsh KILA MWEZI
Ndoto ya kumiliki kiwanja Kigamboni sasa imekuwa rahisi! Hatuhitaji utoe pesa yote kwa mara moja. Kulipia ndani ya MIEZI 20!
📍 Mradi unapatikana:
✅ Km 26 tu kutoka Darajani Kigamboni
✅ Km 3 kutoka Mwasonga Centre
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana.
🔥 OFA YA BEI:
💰 Cash: TSh 23,000 kwa kila SQM💳
💰Kwa Awamu (Installment):
TSh 28,000 kwa kila SQM (Lipia hadi miezi 20!)











