Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Chanika Tungini, Dar Es Salaam (5678 sqm)
Chanika, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 450,000,000
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
5678 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
ENEO LA EKARI 1.16 LINAUZWA CHANIKA, TUNGINI*
๐Chanika, Tungini
Distance: Eneo lipo 200 meters kutoka Barabara kubwa ya lami
Eneo limezungurushiwa ukuta na geti.
Ndani ya eneo Kuna nyumba 2 za wapangaji pamoja na garage ya magari mawili.
Eneo linafaa kwa Makazi, Light Industry, Shamba la ufugaji n.k
Plot size Sqms 5,678
Document: Un Surveyed
Bei shilingi milioni 450 maongezi yapo
Contact 0712531657
0789731695














