Frame ya Biashara inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam

Kariakoo, Dar Es Salaam
22 days ago
Sh. 2,000,000/month
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Service Charge30000
Maelezo
Hii fremu kubwa sana ipo kariakoo mtaa wa ndanda inatazama lami ipo senta sana kwa biashara yeyote inapangishwa ml 2 kwa mwezi Kodi miezi 12 kilemba ml 3 tu wai sevice chaji elfu 30 mpaka unapatiwa fremu bila kuchajiwa Tena siku nyingine
#0716938128_0692198834☎️📞call
#0760097834_call wsp















