Frame inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Kijitonyama, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 400,000/month
Maelezo
FREMU INAPANGISHWA โ KIJITONYAMA ๐
Unatafuta fremu kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi?
Fursa hii hapa ๐
๐ KIJITONYAMA
๐ฐ Tsh 400,000 kwa mwezi
Eneo zuri, linafikika kwa urahisi na linafaa kwa biashara mbalimbali.
๐ Wahi kuwasiliana sasa kabla haijachukuliwa!














